Tengeneza LinkedIn/X Profile

Original price was: Sh19000.Current price is: Sh14900.

Umechoka kuchukuliwa POA mtandaoni? Anza kwa kutengeneza Profile yenye Hadhi kwenye mtandao wa LinkedIn au X. Epuka kujiwasilisha kizembe na Profile zenye makosa au zisizo na ushawishi. Hakuna atakaye kuchukulia serious na UTAKOSA Wateja au Mwajiri. Tumia Mwongozo huu wenye kurasa 34 tu upate maelekezo kwa MIFANO jinsi ya kutengeneza Profile BORA Mwanzo Mwisho.

Mwongozo huu nimekuandalia mimi, Shukuru Amos ambaye ni the most followed Tanzania marketer on LinkedIn. LEO Ndiyo LEO, habari ya kuwa na profile inayokushusha hadhi tunaenda kuiondoa. Chukua mwongozo wako chap ubadili Profile yako kuwa SUMAKU ya Fursa.

FAIDA 6 Za Kuwa Na Profile Inayoeleweka LinkedIn:

  1. Inafanya watu wasikuchukulie poa.
  2. Inakufanya upandishe bei ya huduma zako.
  3. Inakimbiza wazinguaji na kukuletea watu walio serious kulipia huduma zako.
  4. Inapunguza kujieleza sana maana inamaliza yote.
  5. Profile inakutangaza masaa 24 hata ukiwa zako umelala.
  6. Inalipa UZITO Jina lako.

Ni wachahce sana wana Profile zinazowafanya wastahili kutazamwa mara mbili. Achilia mbali kukaa akilini na kufuatiliwa mara kwa mara na watu.

Jipatie Mwongozo huu ili uwe miongoni mwa hawa wachache.