Mbele Ya Muda

TZS29900

Kama kupost unapost sana tu lakini hadhi ya jina bado DHAIFU na Hauwezi Kuuza. Unakosea wapi? Gundua SAIKOLOJIA ya maudhui yenye kuleta Pesa na KUHESHIMISHA jina mtandaoni.

Unatafuta Kazi, Au Kazi Zinakutafuta?

Mbele Ya Muda ni kitabu chenye MADINI yatakuyokufanya ujione ULICHELEWA kuanza kufaidika na NGUVU ya Mtandao. Utafahamu jinsi nimekuza brand yangu hadi kuwa marketer Mtanzania mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa LinkedIn (35,400+ Followers).

Utajifunza Personal Branding, Uandishi na Uwasilishaji unaoleta Pesa. Pia utajifunza kuhusu Biashara Mtandaoni, Saikolojia ya Maudhui. Mengine siwezi kuyasema hadharani kwa sababu yana ukakasi kidogo lakini ndiyo siri ya mafanikio mtandaoni.