Unatafuta Kazi, Au Kazi Zinakutafuta?

Tengeneza JINA lenye hadhi Mtandaoni. Sahau kuhusu shida za kutafuta fursa za Ajira au Biashara bila mafanikio. Mbele Ya Muda ni kitabu kitakachokuweka MBELE Kiujuzi na Maarifa ya Kidigitali yenye kuleta PESA na Uhuru.

Mimi Sitafuti Kazi. Kazi Zinakuja DM Kwangu 👇🏽👇🏽

Kuwa Mbele Ya Muda

Hebu Fikiria Upo Kwenye Stage Hii:

  • Huna wasiwasi juu ya wapi na namna gani utapata mteja, (au kazi).
  • Unapata meseji (qualified leads) 4-9 kwa wiki za watu ambao wako interested kufanya kazi nawewe.
  • Uko vizuri kwenye kushawishi mkikutana au kwenye simu.
  • Huna tena habari za kuandaa CV, kujitolea au kwenda kuongeza mastaz.
  • Unafanya kazi ukiwa nyumbani au popote. Foleni za Jiji tena basii.

Hayo yote yanawezekana. Mimi niko kwenye hii stage sasa.

UNAANZAJE? Ni kweli Mitandao Inalipa?

Majibu, Maujuzi na Maujanja YOTE Utayapata ndani ya kitabu hiki.

Nina shuhuda zaidi ya 300 za watu wakishukuru jinsi kitabu hiki na maudhui yangu mtandaoni yalivyowasiadia. Soma shuhuda hizi au jipatie kitabu chako ujionee mwenyewe.

Watu huniuliza nimewezaje kukuza jina hadi kufikia followers 24,000+ kwenye mtandao wa LinkedIn. Jibu langu ni moja tu, nenda LinkedIn na umtafute Shukuru Amos usome post zake. Utajifunza mengi. Hiki kitabu kimejaa madini na siri za kukua kidigitali.

Edwin Francis M.
Author, Speaker & Founder

Shukuru kanitoa kutoka kuwa na followers 500 hadi kuwa na followers 10,970 kwenye mtandao wa LinkedIn. Kanifundisha mengi hadi nimeweza kupata mteja wangu wa kwanza wa website nikiwa bado mwanafunzi. Bila yeye ningekuwa bado sionekani online.

Anthony Charles
Mwanafunzi, IAA

Jambo moja Shukuru ana uwezo nalo ni kukubadilisha mtazamo. Uandishi wake wa tofauti sana ulinivutia na kunifanya nianze kuandika mtandaoni hasa LinkedIn. Chukua kitabu uwe mbele kiujuzi, maarifa, na mtazamo wenye kuleta fursa na pesa.

Shaatmelau Raymond
HR, ENGIE Energy Access

nguvu ya mtandao

Mbele Ya Muda ni kitakufanya ujione ULICHELEWA kuanza kufaidi Fursa za Mtandao

Utafahamu jinsi nimekuza brand yangu hadi kuwa marketer Mtanzania mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa LinkedIn (37,000+ Followers). Utajifunza Personal Branding, Uandishi na Uwasilishaji unaoleta Pesa. Pia utajifunza kuhusu Biashara Mtandaoni, Saikolojia ya Maudhui. Mengine siwezi kuyasema hadharani kwa sababu yana ukakasi kidogo lakini ndiyo siri ya mafanikio mtandaoni.

Nunua Kitabu cha Mbele Ya Muda ujipatie Mwongozo wa Kutengeneza Profile BURE.